Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchaowa nazo ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
2 Reactions
34 Replies
249 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
4 Reactions
19 Replies
328 Views
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
7 Reactions
59 Replies
635 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
4 Reactions
39 Replies
463 Views
Na hasa nguo za ndani kama mathalani undershirt, underwear, underskirt, undertrouser n.k wanao kua jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Amani iwe nanyi. Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu. Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
36 Reactions
260 Replies
11K Views
Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu...
24 Reactions
149 Replies
9K Views
Mahakama za kesi za ndoa. Habari mpendwa msomaji! Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani. Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo: -Jinsi...
3 Reactions
2 Replies
754 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,486
Posts
49,203,283
Members
664,031
Latest member
G 1
Back
Top Bottom