Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
Kiukweli Oysterbay itabaki Kuwa Oysterbay tu japo wengine wanadai Mbweni ndio mbadala wa Makazi ya Viongozi wa Serikali waliokuwa wanaishi huko
Barabara ni Lami tupu lakini Maji ya mvua...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.
Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.