Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
7 Reactions
99 Replies
3K Views
Kwa mategemeo makubwa sana nilipongeza juhudi za serikali kuwa kumreplace fastjet ambae sikumbuki vizuri aliondoka kwajili gani kipindi cha magufuli lakini tangu muda huo hadi sasa Air Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Hello. Katika ulimwengu wa mahaba kipi uwa unaenjoy zaidi. Kuzama chumvini wewe je?
6 Reactions
58 Replies
811 Views
Wakuu itifaki imezingatiwa Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana Hivi mwanaume mwenye majukumu ya...
18 Reactions
99 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
210 Replies
1K Views
Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
7 Reactions
166 Replies
2K Views
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza...
1 Reactions
26 Replies
609 Views
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua...
5 Reactions
25 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,609
Posts
49,423,427
Members
666,015
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom