Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu...
10 Reactions
30 Replies
441 Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
15 Reactions
214 Replies
3K Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni? Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
2 Reactions
73 Replies
2K Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
36 Reactions
220 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 20 nipo Dar es Salaam. Natafuta mwanamke wa kuwa kwenye mahusiano miaka kuanzia 18-25 Awe mweupe na kama sio mweupe awe na kamwili. Awe mpole maana mimi ni mpole sana...
0 Reactions
3 Replies
46 Views
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi Alipofika...
8 Reactions
11 Replies
317 Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
6 Reactions
69 Replies
1K Views
Assalam'aleikum... Karibuni wote katika sehemu rasmi hapa Jf ya kuelimishana na kuzinduana na kupata maarifa kupitia picha za nukuu na picha zinazohusisha dini ya kiislamu . Baada ya pilipilika...
54 Reactions
693 Replies
27K Views
Marekani ikiwa ni kinara wa demokrasia imeonesha kuwa demokrasia ni janga jengine la dunia Hata kurudi kwake kugombea pamoja na kukabiliwa na kesi chungu nzima ni funzo jengine la matatizo ya...
4 Reactions
13 Replies
690 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,735
Posts
49,112,619
Members
662,990
Latest member
mr_fact_96
Back
Top Bottom