CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia
Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Mathalani,
Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒
Viongozi wa serikali na wasio wa...
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake
Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki?
Msaaada naombeni
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa...
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?
Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025...
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.