Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
28 Reactions
147 Replies
2K Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
17 Reactions
149 Replies
3K Views
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
9 Reactions
38 Replies
981 Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
10 Reactions
116 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
7 Reactions
234 Replies
5K Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
92 Replies
2K Views
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao: 2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu? 3. Kwamba madeni ndiyo haya? 4. Wanaeleweka washirika...
1 Reactions
12 Replies
244 Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
1 Reactions
26 Replies
712 Views
licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yametekeza vibaya kambi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa? Mitaa...
9 Reactions
74 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,976
Posts
49,402,695
Members
665,795
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom