Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake. Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
4 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe...
0 Reactions
5 Replies
26 Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
14 Reactions
133 Replies
5K Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
11 Reactions
79 Replies
1K Views
Nchi ya Zanzibar wataamua wenyewe cha kufanya, ila upande wa Tanganyika, napendekeza ziondolewe sifuri mbili kwenye sarafu zake zote. Kwa mantiki hiyo:- 1.) Tsh. 100/= itakuwa Tsh. 1/= 2.) Tsh...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Arusha imepata bahati na neema ya kipekee kabisa ya kuandaa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kitaifa ambayo itafanyikia Mkoani hapo jiji na lango kuu la watalii...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu...
6 Reactions
66 Replies
839 Views
Kwa faida ya wote hasa vijana wa kileo ni hivi hapo zamani sehemu kubwa za miji mingi haikuwa na lami. Barabara nyingi zilikuwa ni za vumbi. Sasa hawa funza walikuwa ni wadudu wadogo mithiri ya...
4 Reactions
50 Replies
333 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,892
Posts
49,433,688
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom