Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa...
3 Reactions
5 Replies
123 Views
Habari wana JF, Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele? Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi...
3 Reactions
16 Replies
174 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
11 Reactions
495 Replies
14K Views
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya...
4 Reactions
15 Replies
241 Views
Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
1 Reactions
27 Replies
257 Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
23 Reactions
81 Replies
967 Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
37 Replies
384 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,765
Posts
49,428,896
Members
666,048
Latest member
Simon silumbe
Back
Top Bottom