Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kama kuna mdau ana taarifa na picha juu ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa msalato dodoma,aweke hapa.natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Hii ni kwa Mujibu wa CAG "Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua...
1 Reactions
3 Replies
74 Views
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
4 Reactions
38 Replies
948 Views
Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
9 Reactions
149 Replies
3K Views
Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
2 Reactions
42 Replies
696 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote. Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada...
32 Reactions
250 Replies
6K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar? Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi...
0 Reactions
5 Replies
136 Views
Yaani tusijidanganye hata siku moja. Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc.. Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila...
27 Reactions
133 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,070
Posts
49,406,372
Members
665,832
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom