Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Habari zenu wana group!
Nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa milioni 4.
Nahitaji kuuza vitu niagizie toka Dar es Salaam mi niko Tabora.
Naombeni ushauri nifanye biashara gani?
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa...
Mathalani,
Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒
Viongozi wa serikali na wasio wa...
Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni.
Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.