Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyodukuliwa kwenye Maandamano ya Chadema huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo , lakini mimi napinga...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Pesa nyingi za umma zinatolewa kwa ajili ya miradi ya umma na maendeleo ya wananchi. Zinaliwa na zinatafunwa. Ripoti ya CAG ipo wazi Rais Samia aliwahi kutamka wazi kuwa watumishi wa umma wale...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu mambo vipi? Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye...
5 Reactions
204 Replies
11K Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo Sqm 135.73 Ina leseni ya makazi. Bei Milioni 85 Karibu sana mteja...
4 Reactions
11 Replies
134 Views
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakicheza mchezo wao wa 34 uwanjani goodison park, (merseyside derby)wekundu hao wamekubali kichapo cha mbili mtungi mbele ya wapinzani wao wa jiji la liverpool everton. Tuonane msimu ujao tena...
4 Reactions
27 Replies
200 Views
Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi...
20 Reactions
133 Replies
4K Views
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona . Jambo la...
28 Reactions
129 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina...
7 Reactions
64 Replies
978 Views
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake. Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika. Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
9 Reactions
21 Replies
733 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,265
Posts
49,481,160
Members
666,680
Latest member
Himself_54
Back
Top Bottom