Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza...
2 Reactions
7 Replies
148 Views
Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi...
2 Reactions
6 Replies
333 Views
========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa...
53 Reactions
207 Replies
11K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Dunia kwenye kutambua umri wake unatambulika kupitia kwenye "Umri wa miamba" ni jinsi tunavyorejelea muda uliochukuliwa kwa miamba kuundwa na kufanyiwa mabadiliko katika mchakato unaoitwa usanisi...
0 Reactions
2 Replies
29 Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
7 Reactions
65 Replies
715 Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
8 Reactions
64 Replies
1K Views
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO.. Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,340
Posts
49,483,070
Members
666,715
Latest member
MC-MCHOKOZI
Back
Top Bottom