Wadau nawasabahi.Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda kibada chenye ukubwa wa 20mx30m
Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule...
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali wa Jeshi la Iran na Naibu Waziri wa Ulinzi Ali-Reza Asgaria aliyetoweka Katika mazingira ya kutatanisha mwaka 2006 akiwa uturuki imegundulika kuwa anaishi nchini...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya...
Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
habari. kuna fremu inapangishwa maeneo ya bunju A barabaran awali ulikuwa inatumika kama maabara kwa sasa inapangiswa inahitaji 270 kwa mwezi na kodi ni meiz 6. ina luku yake panoja na choo pia...
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.
Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.