Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
37 Reactions
200 Replies
4K Views
Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi. Leo marafiki zake wakaribu...
9 Reactions
26 Replies
105 Views
Kutoka kwa Emmaus Bandekile Mwamakula Ndugu Watanzania! Usiku huu tumeongea na mawakili wasomi Dickson Matata na Hekima Mwasipu ambao ni mawakili wa Malisa GJ na Mhe Boniface Jacob na tumejulishwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
2 Reactions
20 Replies
199 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba. Freddy hamfikii hata robo yule striker mkenya wa Ihefu aitwae...
3 Reactions
18 Replies
429 Views
Habari njema hii imetufikia jana kutokana na mkutano wa mabaraza ya kikristo yanayoendelea duniani, Aidha taarifa hizi nyeti zinafafanua kwamba kanisa kwa sasa linahitaji msaada kutokana na hali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
5 Reactions
52 Replies
978 Views
Habari zenu! Bila kupoteza muda naiomba serikali itoe tamko kupitia wizara ya afya juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Baadhi ya vituo vya afya vimeshaanza kuzidiwa na wagonjwa...
1 Reactions
16 Replies
189 Views
Je huyo uliyeoana naye ndio wa ndoto zako ? Eti mkuu? Au tukuache kwanza?
1 Reactions
4 Replies
83 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,514
Posts
49,488,013
Members
666,767
Latest member
JBLEMUTZ
Back
Top Bottom