Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako? kipi kilikuliza? 🐒
4 Reactions
53 Replies
236 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Ukimtoa Malkia Elizabeth II basi hakuna kiongozi mwengine wa kifalme aliyeiongoza uingereza kwa miaka mingi zaidi kumzidi Malkia Victoria kwa miaka 64 ....Ndio malkia Victoria ndio jina Lake...
1 Reactions
8 Replies
117 Views
Rais wa Tanzania ametangaza kurejesha tena utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu kuanzia July, 2024 kwa utaratibu wa kutumia Benki kwa Halmashauri...
0 Reactions
4 Replies
476 Views
Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi. Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na...
8 Reactions
23 Replies
693 Views
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo. --- Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake UHUMA ZA RUSHWA KWENYE...
0 Reactions
11 Replies
508 Views
The Weekend - Out of Time
17 Reactions
3K Replies
63K Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
20 Reactions
347 Replies
7K Views
Utafanya nini kama umefiwa, umeupeleka mwili wa mpendwa wako kuhifadhiwa alafu unapigiwa simu kwamba mwili hauonekani? Umepotea? Haujulikani ulipo? Tafuta popcorn, ambaa na kisa hiki.. Baada ya...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi...
58 Reactions
394 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,054
Posts
49,405,658
Members
665,828
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom