Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi...
11 Reactions
63 Replies
1K Views
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono. Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti. Askari walifika...
7 Reactions
80 Replies
1K Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
21 Reactions
432 Replies
4K Views
Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nahitaji kununua mashine ya Selcom nipo dar es salaam iwe imeungwanisha na nbc, muuzaji serious anitext inbox
0 Reactions
4 Replies
67 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
12 Reactions
31 Replies
208 Views
INTRODUCTION: Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
14 Reactions
105 Replies
1K Views
We kama ni mcha Mungu kweli inakuwaje anashinda mitandaoni kusimanga watu kama Harmonize? Kama Anaona amemkosea Mungu iweje yeye ashikie bango kesi ya Mungu na Harmonize kiasi cha kusema wamfanyie...
2 Reactions
6 Replies
7 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,008
Posts
49,438,242
Members
666,163
Latest member
rajabu musa
Back
Top Bottom