Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema...
Kuna jumbe mbalimbali za maandishi zimeanza kusambaa kwenye page za wapinzani zikionyesha askari wa polisi wakilalamika kwamba baada ya kufanya kazi miaka 30+ wameambulia kikokotoo kisichozidi...
Uwanja ukowazi.
Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa.
Sifa zangu:
Umri : 50
Elimu: shahada 1 &2
Kazi: Mfanya biashara
Dini: Mkristo...
Salaam, Shalom!!
Nipo hapa Mahali tulivu, nimerudi kuspend muda kidogo kuangalia mwezi juu angani, hii imekuwa Moja ya starehe yangu Kwa muda sasa.
Hali ya hewa ni tulivu, hakuna wingu angani...
Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe...
Uwepo wa vyama vingi ni kwa ajili ya kuwa na taifa lenye kuelimishwa juu ya maswala ya kitaifa kwenye maswala ya uchumi na jamii kwa ujumla wake .Hivyo, jukumu la vyma ni kuuza sera mmbadala ili...
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi.
Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.