Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini...
Usiku wa Jumamosi, tarehe13 April 2024, Iran iliishambulia Israel kwa makombora mbalimbali na drones 300, huku mitambo ya Israel, Marekani, Uingereza na Jordan, ikidaka zaidi ya 99% ya makombora...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpk msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
Hello!
Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini.
Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa...
Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi.
Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Habari JF members..
Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.
Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda...
Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.