Habari ndg...
Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta
Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama
kufanya uchunguzi wa afya akili yako (Mental status examination)
kutoa...
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Tunapenda kuwakaribisha wateja wote wenye mahitaji ya kazi za aluminium na upvc, kufanya kazi nasi.
Tuna mafundi bora wenye uzoefu na weledi wa kazi, tunafanya kazi kwa uaminifu kwa kuzingatia...
Khabarini wana jukwaa.
Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.