Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
2 Reactions
4 Replies
53 Views
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
60 Reactions
347 Replies
11K Views
Muda huu maeneo ya Kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Haya na Wengine mnaolitaka Jimbo la Kawe 2025 kuweni makini Dogo ameshaanza Kuingizwa Kundini kwani muda wote alikuwa anatamba kuwa iwe isiwe 2025 yeye ndiyo Mbunge wa Kawe na tayari ana kama...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini. Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu...
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
9 Reactions
118 Replies
5K Views
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
2 Reactions
20 Replies
391 Views
Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure! ==== Kutoka mtandaoni.... T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu...
2 Reactions
16 Replies
958 Views
Mimi ni: Kujana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa...
7 Reactions
57 Replies
550 Views
Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini...
0 Reactions
3 Replies
43 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,325
Posts
49,482,320
Members
666,696
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom