Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na...
Kwenye taasisi zingine zilizo chini ya serkali kuna madudu mengi sana!
Inakuwaje kwenye halmashauri kuwe safi kwa 99% huku kwenye taasisi za serkali kuwe kumeoza!
Au minong'ono ya bahasha kwa...
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana.
1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
Zanzibar ni dola la kiislam?
serikali ya Zanzibar inaongozwa na katiba ya kiraia au Quran?
mahakama zinashtaki waliokamatwa wanakula wakiwemo wakristo kwa sheria za kiislam?
Kaimu Kamanda wa...
Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa.
Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate...
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.