Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo...
Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna...
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
Binafsi niseme sijawahi ona mahala popote zaidi ya huko Uturuki kwamba kumbe Kuna nyakati carpet la Bluu linaseza kutumika badala ya carpet jekundi ambalo limezoeleka.
Kwa Wakali wa Itifaki na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.