Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana.
Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako ( Kichupa Chako ) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa ( Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni...
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru.....
Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa...
Salaam, Shalom!!
Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini...
Hili jiji kongwe lenye sifa ya kutolala hali ya barabara mitaa mingi ni majanga. Uiiachana na downtown Manhattan, huko kulikobakiwa unabaki unajiuliza hii ndo superpower tunayohubiriwa?
Mitaa...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Utangulizi
Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
1. Hivi ndivyo vilivyo vita vya leo kwenye kuwatia watovu adabu: namna, kiwango, muda na hadi mapigo hujadiliwa yakaidhinishwa:
2. Kwamba kumbe hakukuwa na jipya? Mwana izaya alikuwa apate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.