Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Je, umewahi kujiuliza kama wewe na mwenza wako mnaweza kushirikiana kibiashara?
Navy Kenzo wametoka mbali katika safari yao ya mahusiano na muziki.
Mwaka 2008, Aika na Nahreel walikutana na...
HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.
Ni MKATABA ambao umekuwa maarufu linapokuja suala la mikataba ya ULAGHAI ambayo iliiweka ardhi ya...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi...
Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika...
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.