Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Diamond baada ya kulalamika kuwa kampuni ya Ziiki Media haitakiwa watoe wimbo wake na hivyo wanampango wa kuhuishusha lebel hiyo na mziki wake na wasanii wake! Kampuni hiyo nayo imemjibu Diamond...
2 Reactions
8 Replies
86 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
73 Reactions
4K Replies
245K Views
Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai...
3 Reactions
88 Replies
2K Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… Sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
10 Reactions
195 Replies
3K Views
Hiyo hali inaitwa déjà vu, Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi: Theory mojawapo inaeleza...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Kwenu wakuu. Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media. Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale...
2 Reactions
24 Replies
824 Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
36 Reactions
177 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,890
Posts
49,433,483
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom