Lengo La Wapinzani wa Chama Cha Mapinduzi, Ni Kuwapeleka Wananchi, Zanzibar, Kwa Hati Ya Kusafiria (Passport) 🚮
Huku Ni Kuwagawa Wananchi
Huku Ni Kutoweza Uhuru wa Wananchi
Huku Ni Kuwatesa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo
Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko
Hongera RC Chalamila...
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.
Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
My Take
Kama hili ndio Geti la Bilioni 2 Basi Tanzania tuna pesa nyingi sana za Kuchezea.
Tukumbuke na wengine
https://www.instagram.com/p/C6Gs1HcIp0b/?igsh=eW5yeWNjaXJ3b3A2
Nimekuwa najiuliza wakati BASHITE yupo NJE ya Uongozi Alikuwa haonekani kuwatembelea VIONGOZI wa DINI na kuwataka WAMWOOMBEE na kumbariki.Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.
Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.