Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kama amechoka hivi? Anaweza hamia CCM au kurudi CHADEMA? Anavyyongea siku hizi ni kama hajachangamka kama zamani? Au anatumia sana pombe kali? Nini kimemtokea huyu jamaa?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Sticky
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako. Mwulize jina lake Mwulize namba yake ya uaskari Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa. Raia ana haki ya...
107 Reactions
601 Replies
223K Views
Sisis wakristo huw tunasherehekea ufufuko wa yesu yaani pasaka au kuzaliwa yesu yaani Christmass. Saa hwa wajamaa Huwa wanasherehekea tukio Gani? Au huw wanasherehekea kuacha kushinda njaa siku...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki. Hii ni...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala. Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
5 Reactions
13 Replies
105 Views
Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni...
0 Reactions
18 Replies
358 Views
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma. Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa...
2 Reactions
13 Replies
121 Views
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
10 Reactions
81 Replies
2K Views
Boby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda. Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira. hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja...
18 Reactions
189 Replies
5K Views
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga Anatembea na Exodus 14:14 Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥 Kwenu Lucas na...
4 Reactions
44 Replies
306 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,427
Posts
49,417,378
Members
665,946
Latest member
Elionweest21
Back
Top Bottom