Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni...
DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo
Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko
Hongera RC Chalamila...
Natambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kuujenga na kukijanisha Mji Mkuu yaani Jiji la Dodoma.
Pamoja na kazi kubwa iliyokwishafanyika ila ni Bora tuongeze juhudi zaidi.Kujenga Mji...
Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc.
Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa...
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.