Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️ Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja? Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja? Kudhalilisha...
3 Reactions
29 Replies
257 Views
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru. Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa na...
6 Reactions
48 Replies
984 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
94 Replies
2K Views
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
TOP 23 RICHEST CITIES IN AFRICA 🌍 1. 🇿🇦Johannesburg ($276 Billion) 2. 🇿🇦Cape Town ($155 Billion) 3. 🇪🇬Cairo ($140 Billion) 4. 🇳🇬 Lagos ($108 Billion) 5. 🇰🇪 Nairobi ($85 Billion) 6...
0 Reactions
8 Replies
184 Views
Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria. Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda...
7 Reactions
55 Replies
1K Views
Jana Viongozi wote wa Simba SC mlionekana Bunju Arena mkiwa na Sura za Upendo kwa Wachezaji huku kila Kiongozo aliyekuwepo katika Msafara ule akienda kwa kila Mchezaji na Kuwaonyesha Upendo na...
0 Reactions
6 Replies
195 Views
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao: 2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu? 3. Kwamba madeni ndiyo haya? 4. Wanaeleweka washirika...
1 Reactions
15 Replies
315 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
25 Reactions
117 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,982
Posts
49,402,974
Members
665,794
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom