Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini. Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba...
6 Reactions
29 Replies
266 Views
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi...
5 Reactions
100 Replies
4K Views
Nauliza tu nipate uelewa Dar Port yote imechukuliwa na DP World au ni Gati chache tu? Mlale Unono
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Waziri wa ulinzi anawahakikishia mullahs wamefel kichapo kipo njiani kuwanyea ni kuwatembezea kichapo tu. Kwa jinsi pro Iran wanavyotamba baada ya kombora zao kushindwa reach target 🎯 zingine...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
(image via itl.cat) MUUAJI MWENYE KOFIA NYEKUNDU SEHEMU 001 Yalikuwa ni majira ya usiku wa saa sita kamili, John Otieno alikuwa akikatiza kwenye mtaa uliotulia maeneo ya Iwambi jijini Mbeya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja...
9 Reactions
103 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,998
Posts
49,403,519
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom