Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
BASHUNGWA NA MAVUNDE WAKUTANA KUWEKA MIKAKATI YA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya...
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kore Duniani , inadokeza kwamba Mzungumzaji Mkuu atakuwa John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki
Bado hatujajua kama atazungumzia lolote kuhusu...
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama...
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo.
Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw
Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.