Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza. Updates... Dk 25' 0-0 Game...
5 Reactions
122 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. Na atakayechafua aidha asafishe...
6 Reactions
23 Replies
406 Views
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
18 Reactions
57 Replies
2K Views
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu. Yamewahi...
19 Reactions
31 Replies
557 Views
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
4 Reactions
15 Replies
227 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye...
4 Reactions
23 Replies
945 Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
22 Reactions
124 Replies
2K Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
55 Reactions
174 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,176
Posts
49,477,069
Members
666,631
Latest member
lsack jonathan jacob
Back
Top Bottom