Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tanganyika nayo itatawanyika vipande vipande. Mbali ya huyu Mtanganyika huyu Mzanzibari ,Tanganyika haitakuwa salama na ndio hata waasisi wa Tanganyika waliusia sana kuhusu kuizulumu Zanzibar...
1 Reactions
4 Replies
64 Views
Pongezi mahsusi kwa Mhe. Eva Kiaki Nkya kwa kuaminwa na Mhe. RAIS na kumteua kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama, hakiki anastahili, ni mtu muadilifu sana asiye penda uonevu wala majungu. Ni mtu anaye...
1 Reactions
9 Replies
361 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona . Jambo la...
28 Reactions
140 Replies
5K Views
Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima. Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili...
0 Reactions
1 Replies
14 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
1 Reactions
26 Replies
293 Views
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA...
21 Reactions
144 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina...
11 Reactions
96 Replies
2K Views
Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala...
2 Reactions
15 Replies
88 Views
Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8...
6 Reactions
21 Replies
953 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,405
Posts
49,485,521
Members
666,730
Latest member
kudojo
Back
Top Bottom