Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi...
Wadau hamjamboni nyote
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli!
Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Habarini wanajukwaa,
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021.
Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel.
Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za...
iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana.
my views kwa mzize
1. mzize ni useless player in...
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.