Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni jambo la busara sana. Kuinua uchumi wa nchi. Mama abarikiwe sana. Ametuona kwa kweli. Magari mengi yalikuwa ni model iliyopita kwa kutununulia haya na hizi mvua kwa kweli ametutia moyo sana...
2 Reactions
33 Replies
483 Views
Naomba majawabu kama nilivyouliza kwenye kichwa Cha Uzi huu Ahsanteni 😄
0 Reactions
4 Replies
111 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele...
18 Reactions
128 Replies
3K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Kaka usikimbilie kuichomoa baada ya kufika iache iheme ndani kwa ndani kwa dakika kadhaa. Hata lile hemo lako baada ya kukitupa mwanamke hulipa hukuone huruma ndio maana huwa anakushikilia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes...
35 Reactions
254 Replies
7K Views
Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani...
3 Reactions
26 Replies
197 Views
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba...
2 Reactions
11 Replies
377 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,048
Posts
49,405,267
Members
665,830
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom