True story,
Tangu nimezaliwa mpaka Sasa nishakuwa kwenye mahusiano serious ×3 ukiachana na zile chapa ilale ambazo nimepita mpaka sikumbuki idadi ya nliopitanao, Na kwa Sasa Niko single Wala...
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k
Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status.
Nikiwa nimeingia sehemu ya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni...
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke...
Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept...
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.