Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati...
15 Reactions
319 Replies
3K Views
  • Sticky
Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato...
34 Reactions
1K Replies
540K Views
1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda...
2 Reactions
18 Replies
287 Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
12 Reactions
102 Replies
6K Views
Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula ameitaka Serikali kujenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo mkoani Mwanza ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea kondomu katika uwanja wa...
1 Reactions
17 Replies
217 Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
8 Reactions
50 Replies
404 Views
Natumaini wazima Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu...
4 Reactions
10 Replies
51 Views
Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja...
3 Reactions
11 Replies
70 Views
Utasikia fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka Fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka Fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka NONSENSE, UJINGA...
4 Reactions
40 Replies
359 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,825
Posts
49,467,005
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom