Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
BILIONI 19.7 KUKARABATI UWANJA WA UHURU
zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliyopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa...
Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia...
Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania...
After Good sex sometimes you tend to get cold feet and seek for any contraceptive way to avoid pregnancy because of the responsibilities after, not ready, family circumstance and the easy way is...
Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa!
Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa...
Tulishasema tangu awali kwamba , Kwenye harakati za kisiasa , yako mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime .
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.