Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa...
Jana katika mitando mbalimbali yamepost picha ya jumba la Mayor wa zamani wa Ubungo ndugu Boniface Jacob
Jumba limenikosesha usingiz niliamka sa Tisa na kusali sana ili na mimi niweke jengo kama...
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
Wanahabari,
Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
MTAA WA ALI MWINYI TAMBWE
Mtaa huu uko Kinondoni Block 41.
Nani huyu Ally Mwinyi Tambwe?
Ana mchango gani katika historia ya Tanzania?
Ally Mwinyi picha yake ya zamani kabisa katika picha zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.