Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
320 Replies
5K Views
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu...
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
100 Replies
1K Views
https://youtu.be/PzXidI7eSAM?si=rjlBLsmrAOEmFIai
8 Reactions
26 Replies
891 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo. 1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi 2...
16 Reactions
93 Replies
13K Views
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja... -Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika -Ushuhuda Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya...
0 Reactions
5 Replies
128 Views
  • Poll
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
6 Reactions
8 Replies
286 Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
9 Reactions
39 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,427
Posts
49,201,715
Members
664,012
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom