Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
102 Replies
2K Views
Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na...
14 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari za muda huu JF? Je huwa ukitoka safari unamnunulia mwanamke zawadi? Kama ndiyo, ni zawadi gani unapenda kumnunulia/anapenda kuletewa? Karibu...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
1 Reactions
7 Replies
191 Views
for me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count there losses I start beting last year and wasted too much money and time...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
8 Reactions
62 Replies
2K Views
Hii ni kanuni katika uchawi ambayo inatumika toka enzi za Pontyo wa Pilato. Ni hivi unapo ingia Vitani na mshindani mwenye nguvu unatakiwa kwanza kumbadilisha jina lake. Usidhindane na mshindani...
8 Reactions
23 Replies
726 Views
Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi...
5 Reactions
29 Replies
828 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,446
Posts
49,202,059
Members
664,010
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom