Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2 nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza
0 Reactions
40 Replies
368 Views
maana wote wamekulia Gerezani kariakoo Abby skills kwao mtaa wa kipata,, queen Doreen ambaye DADA yake Mondi antokea mitaa hiyohiyo Bob junior kwao mtaa wa Lindi aliye watoa wakina Abby...
0 Reactions
0 Replies
2 Views
kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako? kipi kilikuliza? 🐒
5 Reactions
221 Replies
1K Views
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
64 Reactions
665 Replies
60K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote. Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada...
32 Reactions
251 Replies
6K Views
kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind...
18 Reactions
95 Replies
4K Views
Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar? Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi...
0 Reactions
6 Replies
151 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
8 Reactions
246 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,071
Posts
49,406,393
Members
665,832
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom