Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
23 Reactions
119 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
15 Reactions
282 Replies
5K Views
Habari, Natafuta mdf board za kituruki ziwe high gross kama zile kwa sasa wanatengenezea makabati ya jikon au tv show case kwa anaejua ni nani anauza hizo board hapa Dar es Salaam atakua...
1 Reactions
19 Replies
372 Views
Sijajua ni Kwanini lakini Sidhani kama wanasifia kutoka mioyoni mwao Hii ni kama Petro alivyokuwa anamsifia Yesu kabla Jimbi hajawika Siasa za kuelekea Uchaguzi zinahitaji umakini mkubwa 🐼
7 Reactions
35 Replies
435 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
9 Reactions
95 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu..Mm ni mwanafunzi wa chuo nipo mwaka wa pili..nina jambo langu nahitaji nishiriki nanyi humu ndani...Nina pesa kama Mil 1.3 nahitaj nifanye biashara...lkn biashara niliyonayo...
10 Reactions
29 Replies
539 Views
Haya yameelezwa leo April 15,2024, Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Florent Laurent Kyombo...
0 Reactions
7 Replies
60 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Paul Christian Makonda ametembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha yaliyoathirika na mafuriko yaliyotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Arusha...
1 Reactions
24 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,875
Posts
49,399,569
Members
665,741
Latest member
H VOLTAGE
Back
Top Bottom