Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Ni kama hukumu ya Mahakama iliyoharamisha ndoa ya mbunge wa zamani wa viti maalumu (CCM), Vicky Kamata na Dk Servacius Likwelile imewaamsha wanandoa wengi kuhusu uhalali wa ndoa walizonazo mbele...
Wakuu amani kwenu,
With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
Na Mwandishi Wetu, Musoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya...
Dar es Salaam. Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa hao kutoshiriki tendo la ndoa kwa zaidi ya miaka 18...
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile..
Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap.
Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.