Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
11 Reactions
22 Replies
620 Views
Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya...
3 Reactions
133 Replies
7K Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
19 Reactions
155 Replies
10K Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
9 Reactions
93 Replies
2K Views
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa.
0 Reactions
4 Replies
10 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Hapa duniani kuna Watu wachache sana Waliobarikiwa Vipawa vya kushangaza na vya kipekee Siasa za Makonda ni za aina yake ndani na nje ya CCM Nawakumbusha tu 🐼
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina...... The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,129
Posts
49,475,472
Members
666,599
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom