Habari wadau mimi nikijana ( 26 ) nasumbuliwa na ganzi mkononi na miguuni pia sometime miguu uwaka moto na mikono pia nikienda hospital naambiwa sina tatizo nimepima kisukari , presha, vidonda vya...
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita.
Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo
Shirika la habari...
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
Ndugu zangu Watanzania
CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
Wasaalam Wana Jukwaa wote.
Tunaelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia hapo Mei 15, 2024 ambapo, nchi yetu tutaungana na zingine duniani kuadhimisha.
Familia ni chanzo cha jamii yetu...
Wadau hamjamboni nyote
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli!
Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.