Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
1 Reactions
25 Replies
341 Views
Mamlaka za kudhibiti dawa za Tanzania, Rwanda na Zimbabwe zimesitisha toleo la dawa za kikohozi za watoto za kampuni ya Johnson & Johnson, kama hatua ya tahadhari baada ya mamlaka za Nigeria...
0 Reactions
6 Replies
309 Views
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane dm
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
16 Reactions
320 Replies
6K Views
Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !! Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hadi leo tamisemi wapo kimyaa...wakati walitangaza mwisho wa February watatoa ajira za ualimu na afya duh
3 Reactions
6 Replies
55 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
17 Reactions
145 Replies
3K Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
27 Reactions
218 Replies
2K Views
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
0 Reactions
8 Replies
329 Views
Na Mwandishi Wetu, Serengeti MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo madai ya mauaji ya wananchi katika hifadhi...
6 Reactions
29 Replies
708 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,941
Posts
49,401,509
Members
665,781
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom