Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu...
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala.
Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷
Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
Boby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda.
Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira.
hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja...
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
Hospitali ya Mbagala Zakhem iliyopo Mbagala Dar es Salaam imekuwa kama ni sehemu ya kuwamaliza Watu, kuna mifano mingi tu kuhusu huduma zao kutokuwa na kiwango kizuri na hivyo kuwaathiri wengi...
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.