Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
15 Reactions
189 Replies
6K Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
9 Reactions
264 Replies
6K Views
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
7 Reactions
58 Replies
506 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
168 Replies
744 Views
Hebu sikiliza na kuona haya Dube na maswali ya waandishi wetu. Safari ni ndefu. https://www.youtube.com/watch?v=lMOveqD2gz0
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa hapa Dar es Salaam mtu kama hupiki kwako ukitegemea kula migahawani basi utateseka sana, huku mitaani kukuta mahali wanapika vyakula vya kueleweka basi utazunguka sana. Wengi wanapika vyakula...
29 Reactions
98 Replies
2K Views
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran...
3 Reactions
27 Replies
480 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,550
Posts
49,421,453
Members
665,973
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom