Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sijajua ni Kwanini lakini Sidhani kama wanasifia kutoka mioyoni mwao Hii ni kama Petro alivyokuwa anamsifia Yesu kabla Jimbi hajawika Siasa za kuelekea Uchaguzi zinahitaji umakini mkubwa 🐼
7 Reactions
30 Replies
321 Views
Hakika naona sasa ni Wakati sahihi kwa Serikali na Mifuko husika kutoa ELIMU juu ya KIKOKOTOO na Mafao ya Wastaafu ili kuwajengea Uelewa mpana Watumishi wa Umma na Wastaafu watarajiwa. KIKOKOTOO...
3 Reactions
29 Replies
194 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana amewataka Wanaccm halisi kuwatambua Ndumilakuwili Wote ambao mchana wako CCM na Usiku wako Chadema na wawaweke pembeni Aidha Kinana amesema katika Dunia ya...
3 Reactions
18 Replies
666 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
16 Reactions
122 Replies
2K Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
9 Reactions
94 Replies
2K Views
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba...
2 Reactions
28 Replies
177 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
7 Reactions
25 Replies
245 Views
Hii imetokea nchini Kenya. Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari. Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........ Kwamba wale makamanda wao waliouawa...
5 Reactions
51 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,871
Posts
49,399,475
Members
665,744
Latest member
H VOLTAGE
Back
Top Bottom